Michezo

WANARIADHA WAPEWE PASIPOTI ZA KIDIPLOMASIA – ABABU

Waziri wa michezo Ababu Namwaba anasema sasa analenga kuanzisha mzungumzo katika wizara hiyo, mazungumzo yanayopania kuwapa wanariadha wa hapa nchini pasipoti za kidiplomasia, wanariadha wawe na uhuru wa kusafiki katika mataifa ya kigeni kuiuza kenya katika suala zima la michezo. Amesema hadi sasa taifa la kenya linatambulika sana ulaya kutokana ubora wake kwenye riadha hivyo […]

WANARIADHA WAPEWE PASIPOTI ZA KIDIPLOMASIA – ABABU Read More »

WACHEZAJI WA MAGHARINI WAJARIBISHWA NA KIKOSI CHA KDF KABLA YA USAJILI

Wakuu wa vilabu vya mashinani wanasema wanafurahishwa sana na makuzi ya talanta za soka za vijanza wao katika eneo bunge la magharini kaunti ya kilifi. Akizungumza na Tama la Spoti alasiri ya leo Kennedy Rimba ambaye ni mkufunzi mkuu wa kikosi cha bosuster kilichojisajili kwa ligi ya fkf ya tawi la eneo bunge hilo amasema

WACHEZAJI WA MAGHARINI WAJARIBISHWA NA KIKOSI CHA KDF KABLA YA USAJILI Read More »