Michezo

SON ATACHEZA KOMBE LA DUNIA – CONTE

Mkufunzi mkuu wa klabu ya Totenhum Hotspurs Antonio Conte amesema anaimani kwamba mchezaji wake Son Hoeng-min atacheza katika mashindano ya kombe la dunia ambako timu yake ya taifa Kosea Kusini inashiriki. Son ambaye ashafanyiwa upasuaji usoni na anazidi kupata matibabu alipata jeraha hilo alipogongana na Chancel Mbemba, kwenye mechi ambayo Spurs walishinda mabao 2-1 dhidi […]

SON ATACHEZA KOMBE LA DUNIA – CONTE Read More »