Michezo

ADEBAYOR AMSIFIA MATASI BAADA YA KUONA MECHI

Fowadi wa zamani wa klabu ya Arsenal lakini pia Manchester City Emmanuel Adebayor ambaye yupo nchini kwa ziara ya kibiashara amepongeza hatua zilizochukuliwa na serikali ya kenya kurudisha ushwari wa soka hapa nchini muda mchache baada ya marufuku ya soka kuondolewa na shirikisho la soka Fifa. Alikuwepo uwanjani jana kushughudia mechi ya Tusker dhidi Talanta

ADEBAYOR AMSIFIA MATASI BAADA YA KUONA MECHI Read More »

SIONDOKI LIVERPOOL HIVI KARIBUNI – KLOPP

Mkufunzi mkuu wa klabu ya Liverpool Jurgen Klopp amesema hana mpango wa kuondoka klabu hiyo kwa hivi sasa pamoja na kwamba timu hiyo imekuwa haifanyi vizuri. Kocha huyo raia wa Ujerumani amesema anaweza kuondoka tu Liverpool kama atalazimishwa kufanywa hivyo lakini vinginevyo hana huo mpango. Maneno hayo yanatokea kwenye kipindi ambacho Liverpool wanashika nafasi ya

SIONDOKI LIVERPOOL HIVI KARIBUNI – KLOPP Read More »