Michezo

VILABU VINNE VYA SOKA MAGARINI VYATIMBA LIGI YA KAUNTI

Vilabu vinne vya soka eneo bunge la Magarini  vimepanda daraja hadi ligi ya kaunti ya Kilifi baada ya kuandikisha matokeo mazuri msimu uliopita. Klabu ya Lubumbashy ambayo ilishinda ubingwa wa mashindano ya Mini League mwaka jana, klabu ya Evergreen, Wakala City lakini pia Danforce ya Marafa ndio klabu zilizoingia katika ligi ya kaunti. Kulingana na […]

VILABU VINNE VYA SOKA MAGARINI VYATIMBA LIGI YA KAUNTI Read More »

FKF KUPEANA MAFUNZO YA SOKA KWALE KABLA MSIMU MPYA KUANZA

Hamisi Mwakoja ambaye ni mwenyekiti wa shirikisho la soka kaunti ya Kwale anasema ligi ya kaunti hiyo itaanza rasmi mwezi February mwaka huu katika msimu wa mwaka 2022/2023. Kwa sasa matayarisho ya msimu huo yanaendelea na shirikisho la soka linalenga kufanya kikao na wakuu wa vilabu tarehe 26 mwezi huu ili kupanga mikakati ya kuendesha

FKF KUPEANA MAFUNZO YA SOKA KWALE KABLA MSIMU MPYA KUANZA Read More »

ARSENAL YABASHIRIWA KUSHINDA LIGI, NEWCASTLE IKIMALIZA NNE BORA

Klabu ya Arsenal imebashiriwa kushinda ligi ya msimu huu wa mwaka 2022/2023 na Supercomputer za kampuni ya FiveThirtyEight. Hii ni baada ya mabingwa watetezi Manchester City kupoteza mechi yao ya ligi wikendi ilopita dhidi ya Manchester United kwa kichapo cha mabao 2-1 huku viongozi wa ligi hiyo Arsenal kushinda mechi yao dhidi ya Tottenham Hotspers

ARSENAL YABASHIRIWA KUSHINDA LIGI, NEWCASTLE IKIMALIZA NNE BORA Read More »