Michezo

VURUGU MICHEZONI NI TISHIO KWA MADHAMINI MAGARINI

Naibu mwenyekiti wa shirikisho la soka eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi mwite Katana Shilingi anasema utovu wa nidhamu miongoni mwa mashabiki lakini pia wachezaji ni changamoto kubwa inayokumba sekta hiyo mashinani. Kiongozi huyo amehoji kuwa uwepo wa vurugu la mara kwa mara wakati wa mechi unafukuza wadhamini ambao huenda wangesaidia katika makuzi ya […]

VURUGU MICHEZONI NI TISHIO KWA MADHAMINI MAGARINI Read More »

VIONGOZI WA KILIFI WASHAURIWA KUJENGA VIWANJA

Mkufunzi mkuu wa klabu ya Malindi Progressive Elly Katana  anasema ukosefu wa viwanja katika kaunti ya Kilifi ni changamoto kubwa inayokumba sekta ya michezo. Akizungumza na Tama La spoti  mjini malindi Elly Katana amehoji kwamba kwa sasa viwanja vingi vinamilikiwa na watu binafsi jambo ambalo linakatisha tamaa wachezaji pindi tu wamiliki wa viwanja hivyo wanapovichukua.

VIONGOZI WA KILIFI WASHAURIWA KUJENGA VIWANJA Read More »