Michezo

KINADADA WASHAURIWA KUJIHUSISHA NA MICHEZO KILIFI

Ukosefu wa fedha za kuendesha shuhuli za michezo katika klabu ndio sababu kuu inayochangia klabu ya kinadada ya Malindi Starlets kusalia katika ligi ya mkoani kwa misimu miwili mfululizo bila kupanda. Akizungumza na tama la spoti jioni ya leo katika uwanja wao wa mazoezi wa Alaskan mjini Malindi, Neema Charo ambaye ni mkufunzi wa kinadada

KINADADA WASHAURIWA KUJIHUSISHA NA MICHEZO KILIFI Read More »

MASHABIKI WA SOKA KURAHISISHIWA VAR

Bodi ya kimataifa ya chama cha soka ya IFAB inayohusika na sheria za kandanda imependekeza kuwepo kwa mawasiliano kwenye viwanja kuhusu uamuzi wa video ili mashabiki wajue kinachojadiliwa na maafisa wa VAR kabla maamuzi kufanyika wakati wa mechi. Hii inatokana na sintofahamu miongoni mwa mashabiki kila ambapo matukio mbali mbali yanatokea na mwamuzi pekee ndiye

MASHABIKI WA SOKA KURAHISISHIWA VAR Read More »