Michezo

TUTAWAKILISHA TANA RIVER VYEMA, MKUFUNZI JILLO AAHIDI

Mkufunzi mkuu wa kikosi cha Sango Sportiff klabu pekee inayowakilisha kaunti ya tana river katika ligi ya daraja la pili kitaifa  amekiri kwamba matayarisho duni ndio chanzo cha kuwa na mwamnzo mbaya msimu huu. Mkufunzi Righo Jillo wakati akizungumza na tama la spoti uwanjani Alaskan baada ya kupiga sare tasa dhidi ya klabu ya Yanga […]

TUTAWAKILISHA TANA RIVER VYEMA, MKUFUNZI JILLO AAHIDI Read More »

CHARLES OKERE KUENDELEA NA MAJUKUMU YAKE YA KITAIFA

Doris Petra ambaye ni naibu rais wa shirikisho la soka nchini kenya amethibitisha bayana kwamba Charles Okeree ataendelea kuwa mkufunzi mkuu wa timu ya taifa ya kina dada ya Harambe Starlets. Hii ni kufuatia kuibuka kwa sintofahamu baada ya kamati ya mpito iliyokuwa chini ya waziri amina Mohamed kumfuta Okere na kumtwika majukumu Alex Alumira

CHARLES OKERE KUENDELEA NA MAJUKUMU YAKE YA KITAIFA Read More »