VIONGOZI WA MAGARINI WASHAURIWA KUUNGANA KUIMARISHA MICHEZO
Wito umetolewa kwa viongozi wa eneo bunge la magarini kaunti ya Kilifi kuungana ili kuimarisha michezo katika eneo bunge hilo. Ukosefu wa udhamini unasalia kuwa donda sugu katika soka la Magarini jambo ambalo linakosesha motisha baadhi ya wachezaji. Akizungumza na tama la spoti jana baada ya mechi ya daraja la pili kitaifa mkufunzi mkuu wa […]
VIONGOZI WA MAGARINI WASHAURIWA KUUNGANA KUIMARISHA MICHEZO Read More »



