Michezo

MANCHESTER UNITED KUUZA WACHEZAJI WATATU NA KUMNUNUA HARRY KANE

Klabu ya Manchester United inalenga kuwauza wachezaji watatu katika dirisha la uhamisho lijalo ili kuangalia uwezekano wa kumnunua Harry Kane mchezaji wa Totenham Hotspurs. Baadhi ya wachezaji ambao huenda wakauzwa klabuni hapo ni pamoja na beki Harry Maguire, Alex Telles lakini pia fowadi wa timu ya taifa ya Ufaransa Antony Martial mwenye umri wa miaka […]

MANCHESTER UNITED KUUZA WACHEZAJI WATATU NA KUMNUNUA HARRY KANE Read More »

FLAMENGO YAKOSA FAINALI, REAL MADRID IKITARAJIA KUJUA HATMA YAO LEO

Klabu kutoka Brazil  Flamengo usiku wa kuamkia leo imeshishiwa kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya Al Hilal ya Misri katika mechi ya semi fainali ya mashindano ya Fifa Club World mashindano yanayoendelea nchini Morocco. Vijana wa mkufunzi Carlo Anceloti waite Real Madrid watakuwa wanashuka dimbani usiku wa leo dhidi ya Al Ahly ya Misri katika

FLAMENGO YAKOSA FAINALI, REAL MADRID IKITARAJIA KUJUA HATMA YAO LEO Read More »

NERO CHISHENGA ALALAMIKA KUHUSU MECHI YA MOMBASA

Mkufunzi Nero Chishenga wa klabu ya Furunzi FC anaeleza kutoridhika na matokeo ya vijana wake katika mechi ya ugenini wikendi hii dhidi ya klabu ya Shimanzi FC mjini Mombasa ambapo Furunzi walitandikwa kichapo cha mabao 5-1. Nero amedokezea Tama la Spoti kwamba kulishuhudiwa maonevu kutokana na  waamuzi wa mechi hiyo hali ambayo anahoji kuwa kinyume

NERO CHISHENGA ALALAMIKA KUHUSU MECHI YA MOMBASA Read More »