Michezo

CHELSEA WAMEACHANA NA UEFA RASMI, AC MILAN IKIITOA NAPOLI

Klabu ya Chelsea sasa imeagana rasmi na mashindano ya klabu bingwa ulaya baada ya kukubali kichapo cha raundi ya pili dhidi ya Real Madrid darajani Stamford Bridge usiku wa kuamkia leo. The Blues wametandikwa mabao 2-0 na mabao ya kinda wa Brazil Rodrigo ndio mabao yaliyotosha kuipeleka Real Madrid ya mkufunzi Carlo Ancelotti katika hatua

CHELSEA WAMEACHANA NA UEFA RASMI, AC MILAN IKIITOA NAPOLI Read More »

HAKUNA SHERIA ZA KUHUKUMU WASHTAKIWA VILIVYO – MWENDWA

Ukosefu wa sheria madhubuti za kushtaki wapangaji wa matokeo ndio jambo kubwa linalo athiri soka la Kenya kwa sasa. Ni kauli ya Nick Mwendwa ambaye amerejea madarakani mwa urais wa FKF baada ya kuwepo nje kwa muda akishughulikia kesi za uporaji wa hela za michezo. Ameyazungumza hayo alipokutana na kamati ya bunge inayosimamia michezo na

HAKUNA SHERIA ZA KUHUKUMU WASHTAKIWA VILIVYO – MWENDWA Read More »