MKONDONI FC YAANDIBIWA NA FKF
Klabu ya Mkondoni Fc inayocheza ligi ya eneo bunge la Malindi Kaunti ya Kilifi imefungwa kutotumia uwanja wao wa nyumbani hadi mwisho wa msimu huu. Nahodha wa timu hiyo Chambele pia amepigwa ya kuchezea klabu yoyote ya FKF eneo bunge hilo kwa muda usiojulikana. Haya yanatokana na vurugu lililosababishwa na mashabiki pamoja na nahodha huyo […]
MKONDONI FC YAANDIBIWA NA FKF Read More »



