EVANS CHEBET NA HELLEN OBIRI WANG’AA BOSTON MARATHON, KIPCHOGE AKIOSHWA
Mwanariadha kutoka Kenya Evans Chebet jana alifanikiwa kutetea ubingwa wake wa Boston Marathon katika mashindano yaliyofanyika jana katika taifa la marekani. Chebet alikamilisha mbio hizo za kilomita 42 kwa masaa 2.05.54 akimshinda mtanzania Gabreal Geay aliyemaliza kwa muda wa masaa 2.06.04. Bingwa wa Olimpiki mara mbili Eliud Kipchoge ambaye wakenya wengi walikuwa na matarajio makubwa […]
EVANS CHEBET NA HELLEN OBIRI WANG’AA BOSTON MARATHON, KIPCHOGE AKIOSHWA Read More »



