WEKENI SHERIA KALI, FKF YASHAURI
Wito umetolewa kwa bunge la kitaifa kuunda sheria za kuadhibu vikali washtakiwa wa upangaji wa matokeo pindi tu yanapotokea ili kupunguza kuwepo kwa matukio kama hayo katika siku za usoni kwenye ligi za hapa nchini. Maafisa wa FKF wakiongozwa na Nick Mwenda leo wamekutana na kamati ya michezo na utamaduni na kuwasilisha hoja hiyo wakisema […]
WEKENI SHERIA KALI, FKF YASHAURI Read More »



