KIKOSI CHA KILIFI CHAWASILI MLIMA KENYA
Kikosi cha kaunti ya kilifi kitakachowakilisha kaunti hii katika michezo ya Kenya Youth Inter County Sports Association mashindano yatakayofanyika kaunti ya Tharaka Nithi kiliwasili rasmi katika kaunti hiyo. Kikosi hicho kimeundwa na wachezaji wasiozidi umri wa miaka 23 na wanajenga vikosi viwilivya soka ya wanaume na kinadada lakini pia kikosi cha akina dada katika mchezo […]
KIKOSI CHA KILIFI CHAWASILI MLIMA KENYA Read More »



