Michezo

MASHINDANO YA KYISA MAKALA YA TISA KUFANYIKA KILIFI

Mashindano ya Kenya Youth Inter county Sports makala ya 9 ambayo yatafanyika mwaka ujao sasa yatafanyika katika kaunti ya Kilifi baada ya haya ya mwaka huu yanayoendelea katika kaunti ya Tharaka Nithi. Ni kauli ya wizara ya michezo kupitia waziri Ababu Namwamba ambaye amekuwa akizungumza na vikosi vya kaunti mbalimbali jioni ya leo katika kambi

MASHINDANO YA KYISA MAKALA YA TISA KUFANYIKA KILIFI Read More »