Michezo

KILIFI KUWA WENYEJI WA MAKALA YA TISA YA KYISA MWAKANI

Waziri wa michezo na vijana katika kaunti ya Kilifi mwite Ruth Dama Masha anasema amefurahishwa sana na uamuzi wa wizara ya michezo kitaifa inayoongozwa na waziri Ababu Namwamba kuipa kaunti ya kilifi nafasi ya kuandaa mashindano ya Kenya Youth Inter County Sports makala ya tisa mwakani. Hii ilitokana na ombi la kaunti ya kilifi kuandaa […]

KILIFI KUWA WENYEJI WA MAKALA YA TISA YA KYISA MWAKANI Read More »

TOTTENHAM HOTSPURS YAFIDIA MASHABIKI BAADA YA KIPIGO CHA AIBU

Klabu ya Tottenham Hotspurs imeamua kufidia gharama ya tikiti kwa mashabiki wake baada ya tukio la jumapili ambapo Spers walipigwa kichapo cha aibu cha mabao 6-1 dhidi ya Newcastle United katika uwanja wa St James Park. Klabu hiyo imetoa taarifa kwamba imehuzunishwa na kipigo hicho ambacho ni chungu kwa mashabiki hivyo kuamua kuwarudishia hela wanunue

TOTTENHAM HOTSPURS YAFIDIA MASHABIKI BAADA YA KIPIGO CHA AIBU Read More »

KAUNTI YA KILIFI KUAJIRI WACHEZAJI WANAOWAKILISHA KAUNTI KWENYE MICHEZO YA KYISA

  Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Maitha Mung’aro ameahidi kuwaangalilia nafasi za ajira baadhi ya vijana wanaoshiriki mashindano ya KYISA kaunti ya Tharaka Nithi endapo wataishindia ubingwa kaunti ya Kilifi kwenye ngarambe hizo. Haya ni kulingana na Waziri wa Michezo kaunti ya KILIFI Daktari Dama Masha,akisema wameweka kigezo hicho ili kuwapa motisha zaidi ya

KAUNTI YA KILIFI KUAJIRI WACHEZAJI WANAOWAKILISHA KAUNTI KWENYE MICHEZO YA KYISA Read More »