Paps Mkare

FODEN AACHA NA UINGEREZA NA KURUDI NYUMBANI KUPOKEA MTOTO WA TATU

Phil Foden, mchezaji wa klabu ya Manchester City aliachana na kambi yake ya timu ya taifa ya Uingereza huko Ujerumani ambako mashindano ya kombe la mataifa bara ulaya yanaendelea na kurejea nyumbani kwao Uingereza kwa ajili ya kuwa karibu na familia kipindi ambacho mke wake anajifungua. Foden mwenye umri wa miaka 24 anatarajia kupata mtoto

FODEN AACHA NA UINGEREZA NA KURUDI NYUMBANI KUPOKEA MTOTO WA TATU Read More »

EMERGING STARS YA KENYA KUANZA NA ZAMBIA LEO

Timu ya taifa ya Kenya ya soka ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 23 Emerging Stars wanatarajiwa Kushuka dimbani jioni ya leo katika mechi yao ya kwanza ya mashindano ya COSAFA. Mashindano hayo yanayoendelea Africa Kusini yalianza rasmi jana na yanaiweka Kenya katika chungu B kinachojumuisha Zambia, Comoros na Zimbabwe. Emerging stars wanacheza mechi yao

EMERGING STARS YA KENYA KUANZA NA ZAMBIA LEO Read More »