Hamisi Kombe

KIKOSI CHA KENYA COSAFA CHAWASILI AFRIKA KUSINI

Kikosi cha taifa cha soka cha wachezaji wasiozidi umri wa miaka 23 kimewasili rasmi huko afrika kusini kwa ajili ya mashindano ya COSAFA yatakayoanza rasmi hii leo mpaka tarehe 7 mwezi Julai. Kulingana na benchi la kiufundi kutoka Kenya ni kuwa kikosi hicho kinalengwa kutumika kwenye mawindo ya talanta zitakazowakilisha Kenya kwenye mashindano ya Afcon

KIKOSI CHA KENYA COSAFA CHAWASILI AFRIKA KUSINI Read More »