ABABU AMSHUKURU RUTO BAADA YA KUFUTWA
Aliyekuwa waziri wa michezo hapa nchini Kenya Ababu Namwamba ameushukuru uongozi wa rais William Samoei Ruto kwa kumpa ya kuhudumia taifa hili katika sekta ya michezo. Ametoa shukrani hizo baada ya kufutwa jana wakati ambapo rais alitangaza kuwaachisha kazi mawaziri wote isipokuwa waziri mkuu na wa masuala ya kigeni Musalia Mudavadi. Ababu katika ujumbe wake […]
ABABU AMSHUKURU RUTO BAADA YA KUFUTWA Read More »



