DE LA FUENTE ASEMA MORATA ATAPATIKANA FAINALI

Mkufunzi wa timu ya taifa ya Uhispania Luis De La Fuente amethibitishakuwa mshambuliaji wake Alvaro Morata atapatikana katika fainali itakayochezwa jumapili kwenye mashindano ya Euro baada ya tukio la kupewa jeraha alipoumizwa na mlizi wa uwanja pale kulipotokea shabiki kuingia uwanjani kipindi Uhispania wanashereheklea kufuzu kwa fainali.

De La Fuente amethibitisha kuwa jeraha hilo halikuwa baya sana lakumzia kupatikana kwenye fainali ambayo wanasubiri mpinzani wao kwenye mechi ya usiku wa leo Uingereza watakapokuwa wanavaana na Uholanzi mwendo wa saa nne.

Uhispania walijipatia tikiti yao jana kwa kuifunga Ufaransa mabao 2-1 kwenye semi fainaliya kwanza.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *