SAPOTI YAIPA MAFANIKIO KOMBANI GIRLS
Kocha wa soka katika shule ya upili ya Kombani Girls kutoka kaunti ya Kwale Mukasa Amboko anasema shule yake muhula huu imeweza kutetea ubingwa wa mashindano ya shule za upili hatua ya mkoa kwa wasichana kutokana na uwekezaji mkubwa unaofanywa na shule hiyo. Anasema kombani girls imeweka hela za kutosha kuajiri makocha wazoefu wenye vyeti […]
SAPOTI YAIPA MAFANIKIO KOMBANI GIRLS Read More »



