UHISPANIA NDIO MABINGWA EURO
Uhispania ndio mabingwa wa mashindano ya Euro yalokuwa yanaendelea nchini Ujerumani baada ya usiku wa kuamkia leo kusajili ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya taifa ya Uingereza. Bao la Nico Williams kunako dakika ya 47 na lile la Mikel Oyarzabar anayechezea Real Sociodad kama kiungo ndio mabao yaliyotosha kuishindia uhispania inayofunzwa na kocha […]
UHISPANIA NDIO MABINGWA EURO Read More »



