Paps Mkare

MASHINDANO YA DOLA SUPER CUP KUANZA KILIFI

Mashindano ya Dola Super Cup yanatarajiwa kuanza rasmi katika kaunti ya kilifi katika kipindi cha takriban wiki moja ijayo na mechi ya kwzanza itachezwa katika uwanja wa chuo kikuu cha Pwani mjini kilifi. Kulingana na waandalizi wa mashindano hayo ni kuwa yanalenga kuvumbua talanta ambazo zitaangaziwa kwenda mbele huku maskauti wa timu mbalimbali ikiwemo klabu […]

MASHINDANO YA DOLA SUPER CUP KUANZA KILIFI Read More »

TAARIFA ZA SOKA ULAYA ; MBAPPE KUTANGAZWA MADRID, SOUTHGATE KUJIUZULU, MULLER NA SHAKIRI KUSTAAFU

Mkufunzi wa timu ya taifa ya Uingereza Gareth Southgate amejiuzulu kutoka wadhifa wake hii leo.Hii ni baada ya kupoteza fainali ya pili ya Euro ambako Uingereza (Three Lions) walipigwa kichapo cha mabao 2-1 na Uhispania. Hii ni fainali ya pili mfululizo Uingereza inapoteza chini ya Southgate baada ya kupoteza makala yalopita dhidi ya Italia katika

TAARIFA ZA SOKA ULAYA ; MBAPPE KUTANGAZWA MADRID, SOUTHGATE KUJIUZULU, MULLER NA SHAKIRI KUSTAAFU Read More »

SILVER BULLETS BAADA YA KUACHANA NA KOCHA WAO SASA YASHUKA DARAJA

Klabu ya Silver Bullets haitashiriki ligi ya Fkf daraja la pili kitaifa msimu ujao baada ya kushushwa daraja. Klabu hiyo yenye makazi yake Vipingo katika kaunti ya Kilifi ilikosa kusafiri na kushiriki mechi tatu za ligi na kwa mujibu wa sheria tayari imeshuka daraja kwa hilo. Hayo yanajiri majuma machache baada ya kocha mkuu wa

SILVER BULLETS BAADA YA KUACHANA NA KOCHA WAO SASA YASHUKA DARAJA Read More »