Paps Mkare

MICHEZO YA SHULE ZA UPILI MKOANI PWANI KUANZA RASMI KESHO HOLA

Mashindano ya shule za upili katika hatua ya mkoa wa pwani yanatarajiwa kuaanza rasmi kesho katika kaunti ya Tana River kwenye shule ya msingi ya Hola na wala sio Oda kama ilivyokuwa kwenye taarifa ya awali. Kulingana na waandalizi wa mashindano hayo ni kuwa takriban zaidi ya wanafunzi 1500 wanatarajiwa kuwasili katika kaunti hiyo tayari […]

MICHEZO YA SHULE ZA UPILI MKOANI PWANI KUANZA RASMI KESHO HOLA Read More »

UHISPANIA WATINGA FAINALI EURO, ARGENTINA IKIFUZU COPA AMERICA

Timu ya taifa ya Uhispania imejikatia tikiti ya kufuzu kuingia fainali ya mashindano ya Euro usiku wa kuamkia leo baada ya kuipiga ufaransa kichapo cha mabao 2-1. Katika mechi hiyo Lamine Yamal kinda mwenye umri wa miaka 16 anayechezea Barcelona aliingia katika historia ya mashindano hayo kwa kuwa mchezaji mchango zaidi kuwahi kufunga bao kwenye

UHISPANIA WATINGA FAINALI EURO, ARGENTINA IKIFUZU COPA AMERICA Read More »