Paps Mkare

ABABU NAMWAMBA ASHAWISHIWA KUWA NA UWAZI NA OLIMPIKI

Wito umetolewa kwa wizara ya michezo kuweka wazi  orodha ya wachezaji na wadau wote watakao kuwa safarini kuelekea Paris  Ufaransa mwezi huu ambako mashindano ya Olimpiki yatakuwa yanafanyika. Wito huo umetolewa na mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya raga ya Kenya Dennis Ombachi ambaye pia ni mkereketwa wa masuala ya michezo humu nchini. […]

ABABU NAMWAMBA ASHAWISHIWA KUWA NA UWAZI NA OLIMPIKI Read More »