Paps Mkare

EMERGING STARS YAREJEA KENYA BAADA YA KUBANDULIWA COSAFA

Timu ya taifa ya soka ya Kenya ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 23, Emerging Stars wamerejea rasmi nchini baada ya kubanduliwa katika mashindano ya COSAFA yanayoendelea katika taifa la Afrika Kusini. Kenya ilimaliza katika nafasi ya pili katika Kundi B ikiwa na alama  sita, sawa na vinara Comoros waliokuwa na rekodi bora dhidi yao […]

EMERGING STARS YAREJEA KENYA BAADA YA KUBANDULIWA COSAFA Read More »