Paps Mkare

MASHINDANO YA OLIMPIKI YAANZA KUNOGA UFARANSA

Mashindano ya olimpiki yanaendelea nchini Ufaransa, na mashindano ya kwanza ya uwanjani yatakayoshirikisha wakenya kwenye riadha ni kuwa  kesho kikosi cha wanaume kitashiriki kwenye mashindano ya walking race kilomita 20 kabla mbio za mita 1500, mita 5000, mbio za kupokezana vijiti kuanza rasmi ijumaa wiki hii. Kwenye soka ni kuwa  timu ya taifa ya ufaransa

MASHINDANO YA OLIMPIKI YAANZA KUNOGA UFARANSA Read More »