Paps Mkare

MALINDI HIGH YAPANGA KUANDIKISHA HISTORIA KWENYE RAGA

Mwalimu wa michezo katika shule ya upili ya wavulana ya Malindi High kutoka eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi Kenedy Kirinywa anasema anajivunia kuwa wawakilishi wa mkoa wa pwani katika mashindano ya shule za upili mwaka huu kwenye mchezo wa raga za wachezaji saba kila upande. Kirinywa sasa anasema timu yake inalenga kusajili matokeo […]

MALINDI HIGH YAPANGA KUANDIKISHA HISTORIA KWENYE RAGA Read More »