Paps Mkare

BUMBANI STARS NA ZIWANI YOUTH KUTAFUTA TIKITI YA ‘DIV ONE’

Ligi ya daraja la pili kitaifa ilitamatika rasmi wikendi hii na Bumbani Stars ndio mabingwa wa ligi hiyo baada ya kuonyesha kiwango bora msimu mzima. Wikendi hii ambayo mechi za mwisho wa ligi zilikuwa zachezwa timu kadhaa zilikosa kuheshimu ratiba kwa kile kinachotajwa kuwa changamoto za usajiri katika mechi za ugenini. Sango  Sportiff kutoka Tana

BUMBANI STARS NA ZIWANI YOUTH KUTAFUTA TIKITI YA ‘DIV ONE’ Read More »