USIMAMIZI WA YOUNG BULLS YAZUNGUMZIA MSIMU MPYA WA 2024/2025
Usimamizi wa vilabu vya Young Bulls na YoUNG Bulls Starlets umetangaza kuwa unalenga kusimamisha klabu ya wavulana ya Young Bulls kwanza kuwa imara kabla ya kuzamia kuileta klabu ya Young Bulls starlets katika ligi ya fkf msimu ujao. Kulingana na Shahib Shahib ambaye ni meneja wa klabu ya Young Bulls ni kuwa klabu hiyo ilikuwa […]
USIMAMIZI WA YOUNG BULLS YAZUNGUMZIA MSIMU MPYA WA 2024/2025 Read More »



