YOUNG BULLS FC KUFANYA MAJARIBIO KILIFI
Klabu pekee inayoshiriki katika ligi ya fkf daraja la kwanza kitaifa kutoka kaunti ya Kilifi Young Bulls imetangaza kuwa inalenga kuandaa majaribio mashinani katika njia moja ya kutafutawachezaji wapya katika kikosi chao wakitumia vijana wa kaunti hii. Kulingana na meneja wa timu hiyo Shahib Shahib ambaye amezungumza na Tama La Spoti kupitia njia ya simu […]
YOUNG BULLS FC KUFANYA MAJARIBIO KILIFI Read More »



