WACHEZAJI WENYE TALANTA WAOMBWA KUJITOKEZA
Wito umetolewa kwa wachezaji wa soka katika kaunti ya Kilifi kujitokeza kwa wingi na kuonyesha vipaji vyao katika mashindano ya Dola Super Cup yatakayofanyika kuanzia wikendi ijayo. Kulingana na Suleiman Saddam ambaye ni meneja wa mauzo katika kampuni ya Dola ambayo ndio mdhamini mkubwa wa mashindano haya ni kuwa vipaji vitaangaziwa kwa ukubwa ili kuonyesha […]
WACHEZAJI WENYE TALANTA WAOMBWA KUJITOKEZA Read More »



