Steven Mwalili

MASHINDANO YA DOLA SUPER CUP KILIFI KUANZA RASMI WIKI IJAYO

Mashindano ya dola super ambayo yameendelea katika kaunti za mkoa wa pwani wiki ijayo yataingia katika kaunti ya kilifi na yanatarajiwa kuanza rasmi tarehe 27 mwezi July. Kulingana na waandalizi wa mashindano hayo mwisho wa kwisha mshindi atajishindia shilingi milioni moja. Kulingana na Saddam Suleiman ambaye ni meneja wa mauzo katika kampuni ya Dola ni

MASHINDANO YA DOLA SUPER CUP KILIFI KUANZA RASMI WIKI IJAYO Read More »

HARAMBEE STARS YASALIA NAFASI 108 FIFA, ARGENTINA IKISHIKA KILELE KWENYE VIWANGO VIPYA

Timu ya taifa ya Kenya Harambe Stars imesalia katika nafasi yake ya 108 katika viwango vipya vya fifa vilivyotolewa hivi punde. Majirani Uganda wako mbele ya Kenya huku duniani kwenye viwango hivyo wakisiamama katika nafasi ya 95 huku Tanzania ikiwa chini ya Kenya na iko katika nafasi ya 113. Duniani timu ambayo kwa sasa iko

HARAMBEE STARS YASALIA NAFASI 108 FIFA, ARGENTINA IKISHIKA KILELE KWENYE VIWANGO VIPYA Read More »