Paps Mkare

WAZIRI MTEULE MURKOMEN ASHAURIWA

Waziri mteule katika wizara ya Michezo na talanta nchini Kipchumba Murkomen ametakiwa kuhakikisha kuwa anaimarisha shughuli za michezo katika taifa hili. Kulingana na mwenyekiti wa muungano wa mchezo ya kandanda kaunti ya Mombasa Goshi Juma Ali, kuimarika kwa michezo kutasaidia pakubwa vijana kupata mapato bora na kujiepusha na mambo maovu kwenye jamii. Akizungumza na mwanahabari

WAZIRI MTEULE MURKOMEN ASHAURIWA Read More »

MALINDI HIGH IKO TAYARI KWA MASHINDANO YA KITAIFA

Timu ya shule ya upili ya Malindi High inatarajia kuwa na kibarua kigumu kuanzia hapo kesho watakapokuwa wanaanza Kushuka dimbani katika kampeni yao ya kuwania taji la raga za wachezaji saba kila upande kwenye mashindano ya shule za upili huko Kisii. Kennedy Kirinywa ambaye anaiongoza timu hiyo anasema analenga kuandikisha matokeo bora makala ya mwaka

MALINDI HIGH IKO TAYARI KWA MASHINDANO YA KITAIFA Read More »