WADADA WA PWANI WAOMBA SAPOTI MICHEZONI
Wito umetolewa kwa wadau mbalimbali wakiwemo serikali, wafanyibiashara na jamii kwa jumla kuwekeza katika soka la kinadada iwapo wangependa kuona soka hilo likikua na kufaidi wasichana wa mkoa huu wa pwani. Ni kauli ya Elizabeth Santa naibu mwenyekiti wa Kilifi Women Soccer Forum wakati akizungumza na Lulu FM. Santa ambaye ni mchezaji wa zamani wa […]
WADADA WA PWANI WAOMBA SAPOTI MICHEZONI Read More »



