POTCHETINO APATA KAZI MAREKANI
Kocha wa zamani wa Tottenham Hotspers na Chelsea Mauricio Potchettino ni rasmi sasa ndiye mkufunzi mpya wa timu ya taifa ya marekani baada ya kukubali mkataba na shirikisho la soka la taifa hilo. Potchettino anachukua mikoba ya mkufunzi Gregg Berhalter aliyefutwa kazi kutokana na kuandikisha matokeo duni yaoiyopelekea USA kuandikisha historia ya kuwa taifa la […]
POTCHETINO APATA KAZI MAREKANI Read More »



