FIRAT ANA MATUMAINI NA AFCON 2025
Kocha wa timu ya taifa Harambee stars Engin Firat amesema bado kuna matumaini ya Kenya kufuzu kwa AFCON 2025 licha ya matokeo ya kutoridhisha ya sare tasa katika mechi ya kwanza dhidi ya Zimbabwe. USIKU wa leo mwendo wa saa moja Harambe stars watakuwa wanashuka dimbani tena kwa mechi ya pili dhidi ya Namibia katika […]
FIRAT ANA MATUMAINI NA AFCON 2025 Read More »



