NILIONDOKA MALINDI UNITED – ‘BENAA’
Nahodha wa zamani wa klabu ya Malindi United Bernard Lusi amethibitisha kuwa ni rasmi ameigura klabu hiyo ya Malindi na sasa amejiunga na klabu ya Equity. Beki huyo kisiki amethibitisha kuwa akutoelewana na uongozi wa klabu ndio jambo ambalo lilimfanya kuachana na klabu hiyo inayomilikiwa na mwakilishi wadi wa mji wa Malindi Rashid Odhiambo. Amesema […]
NILIONDOKA MALINDI UNITED – ‘BENAA’ Read More »



