BUMBANI STARS HUENDA IKAACHANA NA MWADUKA BAKARI
Huenda mkufunzi mwaduka Bakari akajiondoa katika klabu ya Bumbani stars kutoka kaunti ya kwale, klabu itakayoshirkki ligi ya Fkf daraja la Kwanza kitaifa msimu ujao. Taarifa zasema kuwa Mwaduka amejiondoa katika klabu hiyo kwa kile kinachotajwa kuwa amekosewa heshima na uongozi wa klabu kuhusu mandalizi ya msimu mpya. Kwenye taarifa za kuaminika ambazo mhusika aliyezungumza […]
BUMBANI STARS HUENDA IKAACHANA NA MWADUKA BAKARI Read More »



