MWACHAUNGA KUZIDI KUINOA YOUNG BULLS
Mkufunzi mpya wa klabu ya Young Bulls Ali Mwachaunga analenga kuzidi kukiimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao kwa kuzidi kuandaa mechi za kirafiki ili kujinoa zaidi. Mwachaunga analenga kuongoza Young Bulls kwenye mechi ya pili ya kirafiki tangu kuchukua majukumu katika klabu hiyo msimu hii na wikendi hii Jumamosi watachuana na Kenya Navy katika uwanja […]
MWACHAUNGA KUZIDI KUINOA YOUNG BULLS Read More »



