BANDARI YOUTH IMEPANDA ‘DIV 2’
Kocha mkuu wa klabu ya Bandari Youth Alex Shikanga, mkufunzi 2a klabu hiyo ambayo wiki jana ilifuzu kwa mashindano ya kitaifa ya daraja la pili amewapongeza vijana wake kwa kupambania nafasi hiyo katika mini league ya mkoa wa pwani Shikanga akizungumza na Tama La SPOTI anasema kujituma kwa wachezaji wake ndio kuliwafanya wafuzu licha wa […]
BANDARI YOUTH IMEPANDA ‘DIV 2’ Read More »



