Paps Mkare

VILABU VIKUBWA ‘EPL’ VYAPIGWA HUKU WAKUFUNZI WAKIFUTWA

Mkufunzi wa klabu ya Chelsea Graham Potter amefutwa kazi rasmi na klabu hiyo kutokana na muendelezo wa matokeo mabaya katika ligi kuu nchini uingereza. Hatua hiyo ilijiri saa chache baada ya Chelsea kutandikwa kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya klabu ya Aston Villa. Mkufunzi huyo ambaye amekaa Chelsea kwa kipindi cha chini ya miezi 7 […]

VILABU VIKUBWA ‘EPL’ VYAPIGWA HUKU WAKUFUNZI WAKIFUTWA Read More »

WACHEZAJI 39 WATEULIWAKUWAKILISHA KILIFI KATIKA MASHINDANO YA KYISA MWEZI APRILI

Wachezaji 39 kutoka mashinani mwa kaunti ya Kilifi wikendi hii walibahatika kupata nafasi ya kipekee kuteuliwa  kuingia katika kikosi kitakachowakilisha kaunti ya kilifi katika mashinando ya Kenya Youth Inter County Sports kwenye soka na mpira wa wavu yatakayofanyika kaunti ya Tharaka Nithi kuanzia tarehe 23 mwezi huu. Zoezi hilo lilifanyika katika uwanja wa Mac One

WACHEZAJI 39 WATEULIWAKUWAKILISHA KILIFI KATIKA MASHINDANO YA KYISA MWEZI APRILI Read More »

VILABU VYA MASHINANI VYAPEANA ‘WALK OVER’ SANA KISA UKOSEFU WA HELA

Klabu ya Deep Sea kutoka kaunti ya Lamu jana ilizawadiwa alama tatu na mabao 2-0 kutokana na wapinzani wao Inter Dabaso kutoka mji wa watatu kaunti ya kilifi kukosa kuheshimu ratiba. Hii inakuwa ni mechi ya tano katika kipindi cha mwezi mmoja kwenye ligi ya daraja la pili kitaifa vilabu vinakosa kuhesimu ratiba katika mechi

VILABU VYA MASHINANI VYAPEANA ‘WALK OVER’ SANA KISA UKOSEFU WA HELA Read More »