Paps Mkare

UHAMISHO WA LIGI YA DARAJA LA PILI NA DARAJA LA KWANZA

Mchezaji mkongwe katika klabu ya daraja la kwanza kitaifa nchini Kenya mwite Jumaa Shokoa sasa ameihama rasmi klabu ya Malindi Progressive na kujiunga na klabu ya Mombasa Omax Fc inayocheza ligi ya daraja la pili kitaifa. Licha ya kwamba nguli huyo hajabainisha sababu rasmi ya kuigura Malindi Progressive ameushukuru uongozi wa mkufunzi Elly Katana kwa […]

UHAMISHO WA LIGI YA DARAJA LA PILI NA DARAJA LA KWANZA Read More »