CHELSEA NA LIVERPOOL HAKUNA MBABE, BRIGHTON IKINYATIA ‘TOP FOUR’
Klabu ya Chelsea katika uwanja wao wa nyumbani Stamford Bridge imelazimishwa sare tasa na klabu ya Liverpool baada ya kuondoka kwa mkufunzi wao Graham Potter aliyefutwa kazi kutokana na muendelezo wa matokeo mabaya. Matokeo hayo sasa Chelsea kusalia katika nafasi ya 11 kwenye ligi wakati Liverpool ya mkufunzi Jergen Klopp ikishuka hadi nafasi ya nane. […]
CHELSEA NA LIVERPOOL HAKUNA MBABE, BRIGHTON IKINYATIA ‘TOP FOUR’ Read More »



