LAMPARD APEWA KAZI NA CHELSEA
Frank Lampard sasa amepewa kazi ya kukiongoza kikosi cha Chelsea kama mkufunzi wa muda hadi mwisho wa msimu huu. Hii ni baada ya Chelsea kumfuta kazi mkufunzi wao Graham Potter kutokana na matokeo mabaya msimu huu. Frank Lampard ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa Chelsea alikuwepo Chelsea kama mkufunzi na kufutwa kazi kutokana na […]
LAMPARD APEWA KAZI NA CHELSEA Read More »



