Paps Mkare

PALACE YAIBUTUA LEEDS UGENINI, ARSENAL IKIPIGWA BREKI NA LIVERPOOL

Leeds United katika uwanja wao wa nyumbani  Ellan Road walitandikwa kichapo cha mabao 5-1 dhidi ya Crystal Palace huku Arsenal ikikabwa koo na kulazimishwa sare ya mabao 2-2 na Liverpool katika uwanja wa Anfield. Kwa matokeo hayo sasa imeshuka hadi nafasi ya nane kwenye ligi huku Arsenal ikiendelea kuselelea kileleni kwa alama 73 alama 6 […]

PALACE YAIBUTUA LEEDS UGENINI, ARSENAL IKIPIGWA BREKI NA LIVERPOOL Read More »

YOUNG BULLS YAPOTEZA MECHI YAKE YA KWANZA LIGINI, OMAX IKIZIDISHA UONGOZI WA DARAJA LA PILI

Klabu ya Malindi Young Bulls sasa wamepoteza mechi yao ya kwanza ya daraja la kwanza kitaifa baada ya kutandikwa na Dandora Youth kichapo cha bao 1-0 katika dimba la Komarock jijini Nairobi. Wakati hayo yakijiri wenzao wa Malindi Progressive academy jana katika uwanja wa Alaskan walisajili ushiondi wa mabao 3-1 dhidi ya wanajeshi wa Kenya

YOUNG BULLS YAPOTEZA MECHI YAKE YA KWANZA LIGINI, OMAX IKIZIDISHA UONGOZI WA DARAJA LA PILI Read More »

ASHTON RANGERS KURINDIMANA NA MARIAKANI YOUTH, KOYUGI AKIPATA HIFADHI

Mechi ya daraja la pili kitaifa kati ya Mariakani Youth dhidi ya Ashton Rangers itakuwa inarindimwa rasmi mchana wa leo (10-4-2023) katika dimba la chuo cha kiufundi cha mariakani mwendo wa saa tisa. Wakati hayo yakijiri mechi ya vija awa mkufunzi Peter Mole waite Beach Bay iliyofaa kufanyika jana katika uwanja wa mjanaheri sasa imeahirishwa

ASHTON RANGERS KURINDIMANA NA MARIAKANI YOUTH, KOYUGI AKIPATA HIFADHI Read More »