Paps Mkare

MAOMBOLEZI YAKATISHA MAANDALIZI YA ‘DERBY’ YA KILIFI

Mkufunzi Collins Omol wa klabu ya Yanga FC amesema maombolezi pamoja na michango ya mazishi ya baadhi ya wachezaji wake waliokufa katika ajali mbaya ya barabarani walipokuwa wanasafiri na basi ya chuo cha pwani ndio chanzo cha kulazimishwa kuairishwa kwa mechi kati yao na Beach Bay kutofanyika siku ya jumapili wikendi ilopita. Mechi hiyo  sasa […]

MAOMBOLEZI YAKATISHA MAANDALIZI YA ‘DERBY’ YA KILIFI Read More »

UEFA KUREJEA LEO RASMI

Mashindano ya kombe la dunia yatakuwa yanarejea rasmi usiku wa leo katika hatua ya robo fainali na mechi mbili zimeratibiwa kurindimwa. Benfica ya ureno watakuwa wanaikaribisha inter Milan ya italia katika dimba lao la nyumbani la Estado da Luz Katika dimba la etihad Manchester City watakuwa wanawakaribisha miamba wa ujerumani Bayern Munich inayoongozwa na mkufunzi

UEFA KUREJEA LEO RASMI Read More »