Paps Mkare

MANCHESTER CITY YATIA GUU MOJA SEMUI FAINALI YA UEFA

Manchester City inayoongozwa na mkufunzi Pep Guardiola imetia guu moja ndani ya semi  fainali za uefa msimu huu baada ya kusajili ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya klabu ya Bayern Munich Katika uwanja wao wa nyumbani Etihad. Kiungo mhispania Rodri ndiye alikuwa wa kwanza kuifungia Manchester City kabla ya Bernado Silver kuitendea haki assist ya

MANCHESTER CITY YATIA GUU MOJA SEMUI FAINALI YA UEFA Read More »