Paps Mkare

MASUSTER YAIBUKA BINGWA WA EMIRATES CUP MAGARINI

Masuster ndio mabingwa wa mashindano ya Emirates Cup yaliokuwa yanafanyika wikendi hii katika uwanja wa Kaembeni, eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi. Masuster Walishinda ubingwa huo kwa kuitandika Venus Fc kichapo cha mabao 2-0. Mabingwa hao Walishinda elfu kumi pesa taslimu pamoja na sare ya soka lakini pia mpira huku nafasi ya pili akijishindia […]

MASUSTER YAIBUKA BINGWA WA EMIRATES CUP MAGARINI Read More »

SPARKI YOUTH YAZIDI KULEMEWA NA USAFIRI, BEACH BAY IKIZIDI KUVUNA

Klabu ya Beach Bay katika ligi ya daraja la pili kitaifa wikendi hii ilipewa alama tatu na mabao 2-0 kutokana na klabu ya Sparki Youth kukosa kuheshimu ratiba. Sparki Youth ilishindwa kusafiri hadi mjanaheri kutokana na ukosefu wa usafiri ikiwa ni mechi ya pili sasa mfululizo inakosa mechi baada ya kukosa kusafiri hadi taita taveta

SPARKI YOUTH YAZIDI KULEMEWA NA USAFIRI, BEACH BAY IKIZIDI KUVUNA Read More »