NARIDHIKA NA MZUNGUKO WA KWANZA – ERICK MUEMA
Mkufunzi wa klabu ya Samburu Lions, Erick Muema, maarufu kama Badizzo anasema kwamba ameridhishwa na vijana wake katika ligi hiyo ya daraja la pili kitaifa katika roundi ya kwanza ya mashindano hayo. Hadi kufikia sasa klabu hiyo imepoteza mechi mbili pekee zote katika uwanja wao wa nyumbani kutokana na mechi 12 ambazo wameshiriki msimu huu. […]
NARIDHIKA NA MZUNGUKO WA KWANZA – ERICK MUEMA Read More »



